iqna

IQNA

donald trump
WASHINGTON, DC (IQNA) - Donald Trump aliuambia mkutano wa wafadhili wa Kiyahudi wa Republican siku ya Jumamosi kwamba atarejesha marufuku yake ya wasafiri kutoka nchi nyingi za Waislamu ikiwa atashinda tena urais mnamo 2024.
Habari ID: 3477806    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/29

TEHRAN (IQNA) - Mshauri wa sera za kigeni wa Spika wa Bunge la Iran ameashiria mauaji ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ambaye aliuawa kigaidi kufuatia amri ya rais Donald Trump wa Marekani na kusema, Trump ni gaidi nambari moja duniani.
Habari ID: 3473315    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/31

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haiimaini Marekani hata kidogo na uzoefu mchungu wa mazungumzo yaliyotangulia na Marekani katika fremu ya JCPOA kamwe hautarudiwa tena kwani hakuna taifa lolote huru na lenye akili litakubali kufanya mazungumzo chini ya mashinikizo."
Habari ID: 3472000    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/13

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria baadhi ya matamshi kuhusu Iran kuendelea kuwepo katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA na nchi tatu za Ulaya na kusisitiza kuwa: "Kuhusu kufanya mazungumzo na nchi tatu za Ulaya, haipaswi kuziamiani na katika kila mapatano lazima kuwepo dhamana ya kweli na ya kivitendo la sivyo haiwezekani kuendelea kwa hali iliyopo."
Habari ID: 3471502    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/09

TEHRAN (IQNA)-Mahujaji kutoka Marekani, Uingereza na Canada walioshiriki katika Ibada ya Hija wamebainisha wasiwasi wao kuhusu sera za chuki dhidi ya Waislamu za Rais Donald Trump wa Marekani.
Habari ID: 3471154    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/03

TEHRAN (IQNA)-Watu wenye chuki dhidi ya Uislamu wameuhujumu kwa mara nyingine msikiti katika jimbo la Tennessee nchini Marekani.
Habari ID: 3471061    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/11

IQNA: Baada kuapishwa Donald Trump kama rais wa Marekani, Imamu aliyealikwa katika ibada maalumu alisoma aya za Qur’ani ambazo zilikuwa na ujumbe wa wazi kwa rais huyo na utawala wake.
Habari ID: 3470807    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/23

IQNA-Viongozi wapatao 300 wa jamii ya Waislamu nchini Marekani wamemwandikia barua ya wazi Rais mteule wa nchi hiyo Donald Trump likiwa ni jibu kwa matamshi ya chuki aliyotoa dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3470721    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/06

IQNA-Khatibu wa Swala ya Ijumaa katika mji wa Tehran amesema kuwa taifa la Iran halitauamini utawala wowote unaoingia madarakani huko Marekani.
Habari ID: 3470670    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/12

IQNA-Kumeshuhudiwa wimbi la hujuma dhidi ya Waislamu kote Marekani baada ya Donald Trump kutangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi wa rais siku ya Jumanne.
Habari ID: 3470666    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/11